Liverpool_Jr
JF-Expert Member
- Sep 7, 2019
- 1,220
- 1,415
YESS, wa ANGANI...Na wewe pia ni baharia au?
Hahahahahahahahah pesa haina nafasi ila ni muhimu sasa huyo wa namtumbo sabuni anatengeneza mwenyewe?Noted. .but hii ina aply sana mijini kwenye Miji iliyo endelea na inayo endelea. .ila huko na mtumbo sijui ileje. .watu Wana pendana tu kwa upendo wa Dhati pesa kwao haina nafasi kwa sababu hakuna mzunguko wa pesa huko
As stipulated by Mchepuko et al., (2019) ""Mapenzi ya siku hizi yapo kama king'amuzi. Usipokilipia uoni kitu. Lakini ukikilipia tu, utapewa Channel mpaka unachanganyikiwa""
Tafuta HELA kwa BIDII ZOTEE kijana MWENZANGU...
#ASANTE
#YNWA
Hahahahahahahahah pesa haina nafasi ila ni muhimu sasa huyo wa namtumbo sabuni anatengeneza mwenyewe?
#YNWANikki Mbishi - Pesa Kwanza
Kwasababu WANAWAKE wa huko hawana OPTION...Noted. .but hii ina aply sana mijini kwenye Miji iliyo endelea na inayo endelea. .ila huko na mtumbo sijui ileje. .watu Wana pendana tu kwa upendo wa Dhati pesa kwao haina nafasi kwa sababu hakuna mzunguko wa pesa huko
#YNWApesa ni katalisti kwenye mapenzi.
hakuna mwanamke anaweza mvumilia mwanaume ambae hana hela.
There is no FREE LUNCH in CAPITALIST COUNTRY..Mapenzi siyo pesa ila pesa hurahisisha baadhi ya vikwazo vya mapenzi. Labda mkutane nyote mna penzi la dhati au ke awe mvumilivu au mwenye kipato cha kuridhika mwenyewe.
Lasivyo ukikutana na hawa wenye misiba na wagonjwa kila wanapotongozwa, utakuwa kama huyu jamaa hapa chini kwenye picha. View attachment 1210364
#YNWAMapenzi bila hela machungu sana. Unaweza kuwa na mwanaume/mwanamke mzuri ukamuona kama mbuzi [emoji23]
Umesoma dini?Anauza debe la mahindi. ..pesa sio lazima itoke mfukoni kwa mume /bwana wake