Kanuni ya uwekezaji itakaykuwezesha kukufikisha mbali kimaisha

Kanuni ya uwekezaji itakaykuwezesha kukufikisha mbali kimaisha

Tumainiandy

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2014
Posts
430
Reaction score
91
Habari za leo katika kusoma kwangu juu ya watu wenye fedha zao kuna baadhi ya kanuni naona ni muhimu sana kuzifuatilia kama ujuavyo kanuni hawezi vunjwa unaweza kuvunga sheria lakini ukaenda bila kupata madhara ila kanuni ukiuvunja lazima utapata maradhara kama ile ya Gravatation principle chochote ukikirusha juu lazima kirudi chini hakiangalii aliyekirusha ana elimu, hana, ukiwa gorofani halafu ukajiachia lazima utaenda chini ikiwa wewe ni mcha Mungu au la. Kanuni kubwa ni hii tumia kidogo kuliko unachoingiza fanya ufanyavyo hii ni kanuni kubwa sana na itakuweka mbali ukiitii.
Mbili katika chochote unachopata fanya ugawanyiko huu Asilimia 10 umpe Mungu, Asilimia 50 iwe ndio ya matumizi yako ya muhimu na ya sasa, Asilimia 10% wekeza kwenye kitu kinachokupa fedha kila leo hapa kama ni shs 500 ila ni ya kila siku unapata so unaweza kuanza na biashara yoyote ndogo ndogo kuuza maji, soda, maziwa, vocha , mchichaa ufugaji wa kuku wachache ( vitu ambavyo unajua watu wanatumia kila siku), Aslimia 10- saving kwajili ya baadaye ila hii unaweza ukaikusanya ukanunua mali zinazobanda bei usiweke benki zaidi ya miaka miwili itakula kwako hapa unanua vitu kama Ardhi, Hisa kwenye, vipande. asilimia 5 mambo ya kijamii ikibaki unapiga kwenye investment. Inayobaki sadaka,dharura na mengineyo moyo wako unataka kufanya. Kanuni hii itakusaidia kuwa katika hali nzuri ya kifedha.
 
Ni sawa.
Hiyo teni pasenti ya kwanza hiyo imekwaza wengi sana na Mungu amewafungia milango. Maana anawahesabu kama wamemuibia hivi!!
(Ni mawazo yangu tu)
 
Mkuu, ni rahisi zaidi kuandika kuliko kutekeleza.
Wewe binafsi ni biashara gani zimekutoa kimaisha?
 
Back
Top Bottom