Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limetengua Kanuni kwa ajili ya kuruhusu Mfungo wa Mwezi wa Ramadhan ambapo mabadiliko hayo yataendelea hadi mwisho wa mfungo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, George Simbachawene amewasilisha hoja hiyo Bungeni Aprili 5, 2022, ambapo Kanuni ya 34 (2) na 34 (4) ya Kanuni za Kudumu za Bunge zimetenguliwa ili shughuli zimalizike mapema.
Lengo ni kuwaruhusu Waumini wa Dini ya Kiislam kuswali na kufuturu kwa wakati muafaka, hivyo mwisho wa shughuli za Bunge utakuwa saa 12:00 jioni badala ya saa 1:45 Usiku.
Kwa akili hizi maendeleo tutayasikia kwenye vyombo vya habari.
Kwa maana nyingine hata malecturer wenye vipindi jioni wahairishe 😂😂
Vipi madaktari nao wakiclaim hoja hiyo? Namna hii ya kutokuelewa dhima ya dini inayumbisha wengi wasio na ufahamu tena ndio msingi wa umaskini kwa jamii nyingi za watu weusi

Sasa huu ni ubaguzi wa waziwazi,kwan kwaresma sio mfungo.Au waliokuwa wanafunga sio watanzania..hili liingie kwenye kero ya muungano au jamuhuri (Tanganyika).