Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Ndani ya kanuni za bunge zimo kanuni za kulinda maslahi ya wabunge wenyewe na zingine zinawanyima haki watanzania kupata kufahamu kile kinachoendelea ndani bungeni. Kuna kanuni inayokataza kurusha matangazo na kufukuza waandishi wa habari na wabaki wao tu wabunge wajadiliane wao tu iwapo mijadala itakua moto!