Ndani ya kanuni za bunge zimo kanuni za kulinda maslahi ya wabunge wenyewe na zingine zinawanyima haki watanzania kupata kufahamu kile kinachoendelea ndani bungeni. Kuna kanuni inayokataza kurusha matangazo na kufukuza waandishi wa habari na wabaki wao tu wabunge wajadiliane wao tu iwapo mijadala itakua moto!
Acha kazi iendelee, mwisho wa yote hukumu ataitoa mwananchi au hao wabunge wako?!!
Ondosha hofu siku zahisabika, ila nakushauri ujitaahidi kufuatilia kila hatua utujuze hapa wanajamvi kama habari mwendelezo na si kutukua nusu nusu kama hivi ..!!