kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Spika anasema kwa mujibu wa kanuni ni kuwa mbunge akimtuhumu mbunge mwingine ni lazima siku hiyo hiyo au nyingine awasilishe vielelezo vyake kwa spika na spika atapelekea kwa kamati ya maadili ambayo spika ataichaigua yeye na kuipenda kama sheria na kanuni za bunge zilivyompa mamlaka spika.
Wasiwasi hizo kanuni zimempa spika madaraka ya kidikteta kama alivyoonekana spika alikua na hasira anatetemeka anaweza kuichagua kamati aitakayo na akapanga watu wake kwa kamati aliyoichagua na kutoa maagizo ya kumpa mtuhumiwa adhabu kali kwa utashi wa spika hapo kuna wasi wasi mkubwa kamati ya maadili kutotoa haki kwa mpina na kufuata maelekezo ya hasira ya spika kwa kua tu kamati zote zinapokea maagizo ya spika!