Kanuni za kuomba Miungu na kujibiwa

Sidhani
 
Mkuu je nikiwa na madeni kichwani, ntapata utulivu wa maombi kweli?? Mara benki, mara Saccos, mara Kikoba, mara Juma mara Sophia, mara kodi... yote madeni hayo... saaa itakuaje??
 
Matumizi bora kabisa ya mitandao ya kijamii!!! Hongera, Ubarikiwe sana!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…