Kanuni za Mapingamizi ya Mgombea haya hapa

ACT kama wapo serious waende mahakamani kuzuia uchaguzi hadi mgombea wao arejeshwe!
Mahakama ioneshwe pingamizi lililowekwa kupitia Form 9A iliyotiwa Saini na mpingaji!

Wale wanaopinga uteuzi wa Samia nao wajaze formu Na 9A na kuziwasilisha INEC!

Wahuni washughulikiwe kihuni!
 
Mahakama hizi hizi za ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…