Kanuni za sheria zitungwe na Bunge lenyewe si waziri

Kanuni za sheria zitungwe na Bunge lenyewe si waziri

wemamzuri

Member
Joined
Jan 27, 2019
Posts
78
Reaction score
76
Katiba, sheria na kanuni zinapaswa kuitikiana. Na hasa sheria na kanuni kuakisi na kufanikisha nia njema ya kifungu cha katiba. Inakuaje kanuni kutungwa na waziri au watu wachache wanaoweza kujipendelea?

Na tena yapasa bunge ndilo limalizane na sheria na kanuni zake sio Serikali! Kwani bunge ni wananchi au wawakilishi wa wananchi. Serikali ni mtekelezaji sawa kampuni la tenda Fulani. Inakuwaje kampuni inajitungia sheria na kanuni za bosi mwananchi mwenye kutoa tenda?
 
Hilo bunge la kutunga sheria Tanzania liko wapi?

Kama ndani ya bunge yupo mtu kama Babutale utegemee atajaribu kumbishia mtu anayejiita daktari wa uchumi huku hajui chochote kuhusu kitu kinachoitwa ubunifu wa kodi?
 
Back
Top Bottom