Violence kwenye football hairuhusiwi hata kama ni mchezaji mwenzako, hivyo ni kosa. Sheria za mpira ni dakika 90, mechi inaweza kusitishwa kabla ya dakika 90 kama litatokea tukio lisilo la kimichezo, au sababu nyingine zilizo nje ya uwanja. Hivyo hata mkifungwa 10 mechi lazima ichezwe dakika zote.