Kanuni za TFF zinasemaje endapo timu yoyote itamsajili mchezaji mwenye tuhuma za makosa ya jinai?

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2016
Posts
4,701
Reaction score
11,920
Hili ni swali kwa wadau wote wa soka na wanasheria

Kwa mfano timu fulani endapo itamsajili mchezaji mwenye makosa ya jinai kama vile ubakaji au mauaji je kanuni zinasemaje?

Vipi kama atasajiliwa mchezaji mwenye tuhuma kama hizo Mahakamani na anatafutwa na Jeshi la Polisi kanuni zinasemaje?
 
Hili ni swali kwa wadau wote wa soka na wanasheria, kwa mfano timu flani endapo itamsajili mchezaji mwenye makosa ya jinai kama vile ubakaji au mauaji je kanuni zinasemaje? Vipi kama atasajiliwa mchezaji mwenye tuhuma kama hizo mahakamani na anatafutwa na jeshi la polisi kanuni zinasemaje?
......interpol wameshapa mtu wao....mbakaji...sheria za nchi hawezi kupewa work permit hadi awe cleared....na interpol
 
Wewe topolo nenda kawaambie polisi wamkamate Babacar Sarr yuko paleee SSC amekaa.
 
......interpol wameshapa mtu wao....mbakaji...sheria za nchi hawezi kupewa work permit hadi awe cleared....na interpol
Hivi huko alikokuwa anacheza Us monastery nadhani ni Tunisia hawana ushirikiano na interpol!
 
Hili ni swali kwa wadau wote wa soka na wanasheria, kwa mfano timu flani endapo itamsajili mchezaji mwenye makosa ya jinai kama vile ubakaji au mauaji je kanuni zinasemaje? Vipi kama atasajiliwa mchezaji mwenye tuhuma kama hizo mahakamani na anatafutwa na jeshi la polisi kanuni zinasemaje?
dada unaogopa kubakwa?
 
Umeshajibiwa tangu jana. Kwanini Bado unaangaika tu. Usitusumbue bwana
 
Hili ni swali kwa wadau wote wa soka na wanasheria, kwa mfano timu flani endapo itamsajili mchezaji mwenye makosa ya jinai kama vile ubakaji au mauaji je kanuni zinasemaje? Vipi kama atasajiliwa mchezaji mwenye tuhuma kama hizo mahakamani na anatafutwa na jeshi la polisi kanuni zinasemaje?
Mkuu kwa ulaya kesi za jinai sometimes ni vichekesho tu mfano ni kilichomtokea Mason Greenwood
 
Mkuu mtoa mada sheria zipo ila tunaishi in a shithole country, mgeni yeyote anayekuja kwa mkataba wa muda mrefu LAZIMA awe na police clearance, lakini nchi hii haikosi vituko, washenzi fulani walikua suspected kuwa wamemlazimisha Friday lady afanye sex na mbwa, wakakamatwa then wakawa exiled kabla ya kupelekwa kwa court!!
 
Hili ni swali kwa wadau wote wa soka na wanasheria, kwa mfano timu flani endapo itamsajili mchezaji mwenye makosa ya jinai kama vile ubakaji au mauaji je kanuni zinasemaje? Vipi kama atasajiliwa mchezaji mwenye tuhuma kama hizo mahakamani na anatafutwa na jeshi la polisi kanuni zinasemaje?
Ana makosa au anatuhumiwa? Umetumia ushabiki badala ya akili.

Ondoa neno ‘makosa” hapo…

Do you know what’s “allegedly”?
 
Hili ni swali kwa wadau wote wa soka na wanasheria, kwa mfano timu flani endapo itamsajili mchezaji mwenye makosa ya jinai kama vile ubakaji au mauaji je kanuni zinasemaje? Vipi kama atasajiliwa mchezaji mwenye tuhuma kama hizo mahakamani na anatafutwa na jeshi la polisi kanuni zinasemaje?

TFF sio mahakama wala jeshi la polisi...
 
Hili ni swali kwa wadau wote wa soka na wanasheria, kwa mfano timu flani endapo itamsajili mchezaji mwenye makosa ya jinai kama vile ubakaji au mauaji je kanuni zinasemaje? Vipi kama atasajiliwa mchezaji mwenye tuhuma kama hizo mahakamani na anatafutwa na jeshi la polisi kanuni zinasemaje?
Sasa wewe dada mipasho ya nini?

Babacar yupo Simba kasajiliwa, ukiona vipi nenda wewe mwenyewe polisi.

Atacheza na yupo yupo sana.
 
Back
Top Bottom