M Mnasihi JF-Expert Member Joined Oct 9, 2013 Posts 8,385 Reaction score 7,929 Jul 18, 2025 #1 Naomba kusaidiwa na wanasheria nguli waliomo humu jf na msaada wenyewe ni kuhusu kanuni za ushahidi zilizokuwa gazetted jana tarehe 17 July 2025. Kanuni hizi zinawezaje kuwa applicable kwenye kesi ya Lissu iliyofunguliwa April 2025 ambayo kimsingi ni nyuma ya kanuni kwa miezi mitatu? Na Kama ni applicable, how? CC: Paschal Mayala et al. Pia soma > Wamepitisha haraka haraka kanuni za Ulinzi wa Mashahidi eti kuficha mashahidi! Yote ni kwa sababu ya Lissu
Naomba kusaidiwa na wanasheria nguli waliomo humu jf na msaada wenyewe ni kuhusu kanuni za ushahidi zilizokuwa gazetted jana tarehe 17 July 2025. Kanuni hizi zinawezaje kuwa applicable kwenye kesi ya Lissu iliyofunguliwa April 2025 ambayo kimsingi ni nyuma ya kanuni kwa miezi mitatu? Na Kama ni applicable, how? CC: Paschal Mayala et al. Pia soma > Wamepitisha haraka haraka kanuni za Ulinzi wa Mashahidi eti kuficha mashahidi! Yote ni kwa sababu ya Lissu