Kanuni zangu zinanishinda

mwakavuta

Member
Joined
Sep 22, 2020
Posts
99
Reaction score
306
1. Sabuni ikianguka bafuni ndo siitumii tena najimwagia maji natoka.
2. Nikiangusha dodoki wakati wa kuoga hata kama ndo nimeanza imeisha hiyo.
3.Nikioga lazima nibakize maji ya kitosha niyamwage hata kama maji ni machache kiasi gani
4. Nikilewa lazima nitafute mtu wa kumsumbua kwenye simu. Hapa ndo mitongozo isiyo rasmi inaanza.
5. Namiliki pea moja ya soksi niivae hadi itoboke ndo ninunue nyingine na hela ipo, Kuzifua mara 1 kwa wiki mbil[emoji2][emoji2]
6. Nyumbani mimi ndo tbs ya chakula kikinishinda hakuna anayekula kinamwagwa.
7. Nikitaka kukata urafiki na mwanamke Namtongoza probability ya kunikataa kimapenzi na urafiki ni asilimia 90.
 
.
5. Namiliki pea moja ya soksi niivae hadi itoboke ndo ninunue nyingine na hela ipo, Kuzifua mara 1 kwa wiki mbil[emoji2][emoji2]
6. Nyumbani mimi ndo tbs ya chakula kikinishinda hakuna anayekula kinamwagwa.
.
.
Hahahaha nimezipenda hizi kanuni mzee, kunabaadhi ya vipengele tunashabihiana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…