Kanuni zitaamua Mchezaji bora (MVP) Ligi kuu

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
Kinavyosema kipengele namba 13 cha kanuni namba 11 ya Ligi Kuu toleo la mwaka 2023 kuhusu tuzo ya mfungaji bora kwenye NBC Premier League.

Kwa jinsi mambo yanavyokwenda, unaiona ikienda kwa nani msimu huu?

Imeandaliwa na Anoth Paul, mhariri ni Amosi Masoko

20240507_204330.jpg
 
View attachment 2983689
Heading na maelezo ni vitu viwili tofauti.

Nenda shule ukafute ujinga wako!

Screenshot_20240507_211428_Edge.jpg

Screenshot_20240507_211627_Edge.jpg
 
Back
Top Bottom