Kanunue wembe

Kanunue wembe

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,282
Reaction score
117,244
kuna mtoto mmoja alikuwa amepanda juu ya mti
kuangua maembe,wakati yuko bize na maembe,huku
chini,mchungaji akapita,akamuangalia yule mtoto.
akaona hajavaa nguo ya ndani,akamwambia we mtoto
hebu shuka,
yule mtoto aliposhuka,yule mchungaji akampa mtoto shilingi
elfu moja,akamwambia kanunue nguo ya undani uvae.

yule mtoto akaenda kumsimulia mama yake ilivyotokea..

mama mtu kusikia hivyo,akaona kama mtoto amepewa
elfu moja basi ingekuwa yeye mkubwa angepewa pesa nyingi..

kwa hiyo yule mama naye akaenda kukaa juu ya mti
bila nguo ya ndani....
mchungaji kupita pale kutazama juu,akamwambia yule
mama ateremke chini,
kufika chini yule mchungaji akampa yule mama
shilingi mia moja...
akamwambia hebu kanunue wembe ukanyoe......
 
Gosh!Its killing me softly!! Teh tehe hahahahahaha..............lol🙂
 
mimi safi,nime kumiss kiaina....
We mwaka mpya umeuona lakini?????

Hata mie nimekumiss dear.
Mwaka mpya nimeuona, na makamuzi yanaendelea kama kawaida.
Take care!!
 
teh teh teh teh...hii kiboko mama kapata shilingi mia ya kunyoa ***** duuH!.
 
hahaaaaa ze Boss bana na stori zako lol!!!!!!!! thanks man!! umekamilisha jioni yangu na naondoka kwa amani
 
Bibie alifikiri mchungaji atamind sasa sipati picha color mchungaji aliyo ishuhudia huko
 
Kama mama alikuwa anafuga rasta, au ana suka mitindo kama "twende kilioni, maji ya moto, kilimanjaro nk" au kama aliacha staili ya "mabutu", wembe wa nini???
 
Back
Top Bottom