(Kanusho): Davido ajibu wanaomvotia tuzo za MAMA 2015

(Kanusho): Davido ajibu wanaomvotia tuzo za MAMA 2015

Status
Not open for further replies.

mzurimie

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2011
Posts
6,143
Reaction score
3,625
Hii kali soma ka screenshot chini....

Davido msanii wa Nigeria, baada ya kuchoshwa na kufatiliwa na Tanzanians ambao hawataki mTanzania mwenzetu Diamond Platnumz ashinde kura kisa kumsaidia wema anayelilia maoenzi na kiba anayetaka kupaa.

Watanzania hawa wamefikia kutia aibu nchi yetu kwa kuandika maneno ya ajabu na hata kutukanana humo humo. Wanamuomba pia mengi wakijua ni single man...aibuuuuuuuu

Amewajibu na kwa mie hata sishangai alichoandika, watu wanadhani wananchi wa nchi zingine ni wajinga kama wao.

Uwiiiiiii mmetia aibu ujumbe huo
attachment.php

============

- UPDATES

JamiiForums: Picha ya akaunti ya Davido ya Instagram iliyoambatanishwa hapo juu ni ya UONGO!

============

Acha uongo wako!
Uwe unafanya research...

Nmetoka kwenye account ya Davido hamna kitu kama hicho.
Kwanini huwa mnapenda kuzusha zusha vitu visivyo na uthibitisho yakinifu?
Mnatia aibu!😱😱
mad.png

Hii ndio account halali ya davido....zaidi ya hii ni mapishi ya wafuasi Wa Mr roporopo
View attachment 261111

Account ya davido ni moja tu ya davidoofficial....na post yake ya mwisho ni kampeni ya yemi jalade ....acheni kupika.
 
Attachments

  • 1434527905775.jpg
    1434527905775.jpg
    5.6 KB · Views: 1,947
uongooooooo...
mmezidiwa vita..
hhahaaahhwaaa...

mnaona meshi ishawashinda...!!
haooo acheni unafki tuuuu
muone hayaaa jamani kkaaahhh

hhahahaaaaa....
 
Masikini hizi timu hizi mpaka ac fake zinatengenezwa sasa ili kujaribu kuwafanya team flani wajinga kumbe ndio mnawachochoa
 
Account ya davido ni moja tu ya davidoofficial....na post yake ya mwisho ni kampeni ya yemi jalade ....acheni kupika.
 
Instagram

Acha uongo wako!
Uwe unafanya research...
Nmetoka kwenye account ya Davido hamna kitu kama hicho.
Kwanini huwa mnapenda kuzusha zusha vitu visivyo na uthibitisho yakinifu?
Mnatia aibu!
😱😱😡
 
Hii ndio account halali ya davido....zaidi ya hii ni mapishi ya wafuasi Wa Mr roporopo
 
Attachments

  • 1434529721793.jpg
    1434529721793.jpg
    60.2 KB · Views: 559
Am not voting for Diamond.
Uzalendo aliondoka nao mwalimu nyerere!
Kama nakukera sana jitie dole la m..ndu!
 
Hiyo social network gani?
Msitufanye sisi mambumbumbu!.

Nimekuta imerushwa insta nikaleta sikuwa na muda wa kusechi imetoka wapi kuletwa insta....Tanzanias wengi wanajua insta tu wakati wengine wa nchi zingine wanatumia nyingi zilizopo.
 
Disturbance au Distabance? Kweli Davido hajui kuandika kidhungu kiasi hiki? Au mi ndo nimekosea?
 
Acha uongo wako!
Uwe unafanya research...
Nmetoka kwenye account ya Davido hamna kitu kama hicho.
Kwanini huwa mnapenda kuzusha zusha vitu visivyo na uthibitisho yakinifu?
Mnatia aibu!
😱😱😡
Ha ha ha we Umefanya research? Kwani hiyo ni post au comment kasearch upya lewooooooo
 
Wamepatwa na kiwewe jaman...mpaka kufungua account fekeroo...bwahahahah...
 
Afu davido mwenye hiyo acc hajui kingereza yan kaandika kiswanglish eti Distabance badala ya Disturbance
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom