mzurimie
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 6,143
- 3,625
Hii kali soma ka screenshot chini....
Davido msanii wa Nigeria, baada ya kuchoshwa na kufatiliwa na Tanzanians ambao hawataki mTanzania mwenzetu Diamond Platnumz ashinde kura kisa kumsaidia wema anayelilia maoenzi na kiba anayetaka kupaa.
Watanzania hawa wamefikia kutia aibu nchi yetu kwa kuandika maneno ya ajabu na hata kutukanana humo humo. Wanamuomba pia mengi wakijua ni single man...aibuuuuuuuu
Amewajibu na kwa mie hata sishangai alichoandika, watu wanadhani wananchi wa nchi zingine ni wajinga kama wao.
Uwiiiiiii mmetia aibu ujumbe huo
============
- UPDATES
JamiiForums: Picha ya akaunti ya Davido ya Instagram iliyoambatanishwa hapo juu ni ya UONGO!

Acha uongo wako!
Uwe unafanya research...
Nmetoka kwenye account ya Davido hamna kitu kama hicho.
Kwanini huwa mnapenda kuzusha zusha vitu visivyo na uthibitisho yakinifu?
Mnatia aibu!π±π±
Hii ndio account halali ya davido....zaidi ya hii ni mapishi ya wafuasi Wa Mr roporopo
View attachment 261111
Account ya davido ni moja tu ya davidoofficial....na post yake ya mwisho ni kampeni ya yemi jalade ....acheni kupika.