(Kanusho): Davido ajibu wanaomvotia tuzo za MAMA 2015

Status
Not open for further replies.
Hahahahaaa, mimi nikadhani ulivyokaa kimya wewe ni mjanja lakini umerudia yaleyale.
Hebu tuliza kichwa kwanza angalia acc original ya Davido instagram na hiyo kama zinaendana.


mim sitaki niokane mjanja maana silipwi wala hainipunguzii kitu,
Sasa tupenni ushahidi kama mnabisha maana kila kitu mnabisha
Ukiona kimya ujue nimetoka mtandaon nafanya mambo mengine nikipata kama hivi narudi,maana sishindani
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…