Kanusho la taarifa ya kuanza kwa huduma za safari za treni za kisasa Dar es Salaam - Morogoro

Kanusho la taarifa ya kuanza kwa huduma za safari za treni za kisasa Dar es Salaam - Morogoro
View attachment 1718469
Halafu na nyinyi muikarabati basi na ile reli ya TAZARA pamoja na Vichwa na Mabehewa yake. Sijui ni mkataba gani mlio ingizwa na Wachina kati yenu na Zambia! Si mgawane tu fito! Ile Treni imejaa changamoto lukuki!

Kwa nini kila Nchi isijitegemee kusimamia reli yake? Na kama kuna fidia ya kuwalipa hao Wazambia kwa namna yoyote ile, si walipwe! Wazambia ni viumbe wavivu na wapenda starehe tu! Kuendelea kuwakumbatia, kuna sababisha adha na changamoto nyingi kwa watumiaji wa hiyo reli.

Yaani tangu izinduliwe miaka ya 1970's, kwa sasa ukiikuta miundombinu yake, inatia kinyaa!
 
Tazara na TRC ni vitu viwili tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…