warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Staa wa muziki ambaye pia ni modo, kanye west hivi karibuni amejikuta akikanyaga skendo ya ushoga baada ya sms zake kufumwa akimtumia mwanamitindo shoga, olivier tousteng.
Skendo hiyo imemganda kanye baada ya Olivier na mpenzi wake wa kiume ambaye hakutajwa jina kugombana baada ya kunaswa kwa sms za mapenzi ikionesha kuwa kuna kitu kinaendelea kati yao.
Mtu mmoja wa karibu na olivier aliuambia mtandao mmoja wa habari za mastaa kuwa, baada ya mpenzi wa olivier kugundua uwepo wa mawasaliano kati ya kanye na shoga huyo alihisi anazungukwa hivyo kutokea ugomvi mkubwa.
Chanzo: celebs gossip