Kanye West akanyaga skendo ya "USHOGA"

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Staa wa muziki ambaye pia ni modo, kanye west hivi karibuni amejikuta akikanyaga skendo ya ushoga baada ya sms zake kufumwa akimtumia mwanamitindo shoga, olivier tousteng.

Skendo hiyo imemganda kanye baada ya Olivier na mpenzi wake wa kiume ambaye hakutajwa jina kugombana baada ya kunaswa kwa sms za mapenzi ikionesha kuwa kuna kitu kinaendelea kati yao.

Mtu mmoja wa karibu na olivier aliuambia mtandao mmoja wa habari za mastaa kuwa, baada ya mpenzi wa olivier kugundua uwepo wa mawasaliano kati ya kanye na shoga huyo alihisi anazungukwa hivyo kutokea ugomvi mkubwa.

Chanzo: celebs gossip
 
Hii story kama ni ya kweli ama si kweli, ila kuna michezo mingi michafu sana inafanyika kupitia rap game. Wanajua fika nguvu ya rap kwa watu weusi, na kiasi gani wengi wanaofuatilia rap ni wafuata mkumbo, so hatuoni mitego yao.

Only a few minds will survive whatever that's coming, independent minds.
 
Kivip? Fafanua
 
Yaani mtu unamuoa mwanaume mwenzako halafu unakuwa na wivu nae kabisa?.Huku ni kukufuru MUNGU kabisa na ni uchafu wa hali ya juu.Dunia imejaa wanawake wa kila aina tena wapo wengi kuliko hata sisi wanaume.Yaani nimuoe mwanaume mwenzangu!!!Haingii akilini kabisa.Hiyo siku ya adhabu ikifika MUNGU atahukumu kwa hasira sana.
 
mi nshawahi sikia kanye ni punga na kuna clip yake analiwa sijawahi kuiona lakini...
 
Hiyo sio kweli, watu wa majuu nao wapenda kuharibiana kama wabongo vile. Stori ilikuwa huyo mwanamitindo alikuwa akitaka kumpamba mtoto wa Kanye, North, but Kanye akatoa nje, lakini badala yake wameitengenezea skendo.
 
Nilichokielewa hapo kuwa kanye west ni basha anawaingilia wenzake also it sad.

Kwa ishu iliyopo African-American wanapigwa sana kuwepo kuwa fashion designer, the things Kanye done kwenye last fashion show ya brands zake nahisi kinawaumiza
 
Hii scandal ni si mara ya kwanza
 
Tatizo scandal za majuu ni ngumu kutoa hukumu ya moja kwa moja kwa kuwa wahusika hatuishi nao kwenye jamii moja ukilinganisha na bongo celebrities tunawajua a to z
 
Hii scandal ni si mara ya kwanza

Tatizo scandal za majuu ni ngumu kutoa hukumu ya moja kwa moja kwa kuwa wahusika hatuishi nao kwenye jamii moja ukilinganisha na bongo celebrities tunawajua a to z

Yap nakumbuka ilimuanza kipindi fulani hivi ikambidi ajiweke kwa Amber

Na ni vigumu kweli mpaka ije kujulikana ni kweli si leo maana wengi tu wanazushiwa ni mashoga kwa wasanii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…