Joselela
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 6,109
- 8,080
Rapa Kanye West amebadilisha jina lake kuwa Ye.
Akitangaza mabadiliko hayo kwenye Twitter siku ya Jumamosi, aliandika: "Nimekuwa nikijulikana kama Kanye West. Mimi ni YE."
West, 41, amekuwa akiitwa Ye kwa muda na kulitumia jina hilo kama kichwa cha albamu yake ya nane ambayo ilitolewa mwezi Juni.
Mabadiliko hayo yalikuja kabla ya tamasha moja wa siku ya Jumamosi ambapo alitarajiwa.
"Ninaamini 'ye' ni jina linatumika sana kwenye Biblia na kwenye Biblia linamaanisha 'wewe,'" West alisema mapema mwaka huu wakati akizungumzia albamu yake na mtangazaji wa redio Big Boy.
"Kwa hivyo mimi ni wewe, mimi ni sisi, ni sisi. Albamu hii ni ishara ya vile tulivyo."
Chanzo BBC SWAHILI