Kanye west amshirikisha rapper mtanzania kwenye ngoma mpya ‘all day’, atumbuiza naye jana kwenye bri

Kanye west amshirikisha rapper mtanzania kwenye ngoma mpya ‘all day’, atumbuiza naye jana kwenye bri

matumbo

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2011
Posts
7,224
Reaction score
3,951
Kanye West anafahamika kwa kuwatoa wasanii wengi wakubwa nchini Marekani. Bila yeye leo hii hakuna mtu angekuwa anawajua Big Sean na John Legend.Na sasa kupitia ngoma yake mpya ‘All Day’, (ambayo hakuna shaka itakuwemo kwenye album yake mpya), Yeezy anamweka kwenye ramani ya muziki duniani, rapper Mtanzania aishiye Minnesota, Marekani, Allan Kingdom.Hakuna mkazi wa Minnesota asiyemjua rapper huyu na infact ni supaster tayari pande hizo japo tunasikitika kuwa tumemfahamu sasa kupitia Kanye West aliyemshirikisha kwenye ngoma yake ambayo tayari
Kinachofurahisha zaidi ni kuwa Kanye amempandisha rapper huyo jana (Jumatano) kwenye Brit Awards (zenye level sawa na tuzo za Grammy za Marekani) zilizofanyika jijini London kutumbuiza ngoma hiyo. Tuzo hizo zimehudhuriwa na mastaa wote wakubwa unaowajua wakiwemo Kim Kardashian, Taylor Swift, Lionel Richie, Sam Smith kutaja wachache tu.
Kwa mujibu wa Star Tribune, Kanye atakuwa amemfahamu Allan kupitia mkurugenzi wake wa ubunifu, Virgil Abloh ambaye ni sehemu ya watu walio kwenye kambi ya Allan. Hakitakuwa kitu cha ajabu kama akishawishika pia kumuongeza kwenye list ya wasanii wa label yake, GOOD Music.
Allan Kingdom ni nani?

10958994_839302759468500_6040719422352307411_n.png

10003290_652935481438563_601937441_n.jpg

credit bongo5
 
Tupe historia yake,amezaliwa wapi? amekulia wapi? marekani ameenda lini? wazazi wake wapo wapi?
 
Tupe historia yake,amezaliwa wapi? amekulia wapi? marekani ameenda lini? wazazi wake wapo wapi?

Amezaliwa na kukulia marekani kama sikosei, ila mama ni mbongo pure mtu wa kanda ya ziwa,alienda kusoma huko akabaki kupiga box huko,baba msauz ila alisharudi kwao.. itakuwa msukuma...maana jamaa anapenda kutoa kubwa kwa serengeti .
 
Huyu ndio celebrity wa maana sio huyu kubwa jinga le mbululaz,akaze buti akija hom awekeze huo mpunga wake bigup sana allan kingdom
 
Good for him, nime msearch you tube, he has a weird style ya ku rap ingawa video zake nimependa creativity
talking about all day ya kanye west, damn ni mbaya, yaan this is not kanye west wa college dropout siku hizi ana shout and he is very boring
jana ndo ka premiere hiyo song kwenye brit awards anatajataja nigga mpaka ITV waka mute perfomance na kuhusu huyo kijana ,lol ninyamaze maana nitaambiwa mla mavumbi naona wivu
 
Wabongo kwa sifa,sasa kama baba msouth na allan wala tz hakujui ndio tunasema ni mtz?
 
Amezaliwa na kukulia marekani kama sikosei, ila mama ni mbongo pure mtu wa kanda ya ziwa,alienda kusoma huko akabaki kupiga box huko,baba msauz ila alisharudi kwao.. itakuwa msukuma...maana jamaa anapenda kutoa kubwa kwa serengeti .

Sasa kinachokufanya umuite mtanzania ni kitu gani?
 
Huyo dogo aliwahi kupiga show pale viwanja vya mwembe yanga akatupiwa makopo 🎤
 
Huyo ni mmarekani sio mtz badilisheni kichwa cha habari,asili yake ni south Afrika kwa baba
 
Mbona wanasema ni raia wa Canada! Au baba ni Canadian na mama mtanzania?
 
Ushauri wa bure kwa Allan

Abaki na uraia wake wa USA au Canada au South Africa

Asijichanganye na wabongo

asijinasabushe na nchi ya wenda wazimu na viongozi washe-nzi kama tz

ajiendeleze huko huko USA

akitaka kuja bongo aje tuu kama mtaliii na asijisumbue na hawa wanawake wa Kibongo ambao watampa magonjwa na akili zao fupi kama kanda mbili

kama haamini basi atazame huyu jamaa alivyo lost

ff6.png
 
Good for him, nime msearch you tube, he has a weird style ya ku rap ingawa video zake nimependa creativity
talking about all day ya kanye west, damn ni mbaya, yaan this is not kanye west wa college dropout siku hizi ana shout and he is very boring
jana ndo ka premiere hiyo song kwenye brit awards anatajataja nigga mpaka ITV waka mute perfomance na kuhusu huyo kijana ,lol ninyamaze maana nitaambiwa mla mavumbi naona wivu
siku hizi marekani kuna mziki bas na swagga tu zikikubalo umepenya kina future wanakoroma tu ila imo kina nani wale sijui tuesday hamna lolote ila imo...tumuombee kijana wetu anaweza bwana
 
Kama baba yake msouth inakuwaje aitwe mtanzania? Kama alizaliwa USA je aliukana uraia wa South/US? au ndio Dual Citizenship.?
 
Back
Top Bottom