Mkuu tupo pamoja hawa member hawajaju chanzo cha ugomviUkija kuchunguza kwa undani utagundua chanzo cha yote hayo ni wake zao.
Sioni ugomvi hapo zaidi ya kuhimiza amani na upendo wa kweli.
Sio kila aliyehumu ni kapuku au hajiwezi kifedha,Wewe ungekuwa na hela usingekuja kubanana na sisi kwenye jukwaa la umbea, nadhani unaham ya kukalia
Wewe mtoto mchelemchele hela uzitoe wapiSio kila aliyehumu ni kapuku au hajiwezi kifedha,
Hatupendi kujionesha [emoji1] [emoji2] [emoji2]
Halafu unaonekana unapenda maisha ya kistaa, kifahari, hujui wenzio wamepitia magumu na marahisi yapi mpaka kufikia alipo.
Mm nimekuonya kuwa usipende kusikiliza umbea wa mjini sijui kanye west Mara jay z.
Wale wanatengeneza skendo kuingiza hela kama ulikuwa hujui sasa.
Ona ile album ya Beyonce inaitwa LEMONADE inamhusu kumkashifu mumewe na kumdhalilisha sana kwa maneno ya dhihaki na kejeli, ambaye ni jay z. Kumbuka hawa wanatengeneza pesa kuwavuta wajinga kama nyinyi kupenda kusikia umbea tuuu..
Njoo nikuoneshe napo toa hela.....Wewe mtoto mchelemchele hela uzitoe wapi
Kajipandisha chati kwa sababu ya Beyonce ama?Hivi kuna celeb duniani mwenye maringo na anae jichukua kama jigga , subiri sasa aone kama blue ata pelekwa kucheza na north.... Kwanza ku fanya tu collabo na jigga ni lazima uwe una eleweka aiseee jamaa yuko selective sana... Jay wa umbrella na rihanna sio wa sasa....
Beyonce ana wivuu hatareeee...Hiyo ya kutokwenda kwenye harusi ni Beyonce ndio aliweka ngumu, Beyonce hamkubali kabisa Kim Kardashian na jinsi alivyopata umaarufu wake
We jamaa kiazi sana aisee!!Jay z - jehova mdogo.
Kanye west - yesu mdogo.
Blue ivy - shetani kinda.
Kifupi wote ni mashetani,
Halafu mtoa thread hii, hawa hawakusaidii chochote
Kila mtu na maisha yake,
Urafiki wao, ugomvi wao wewe haukuhusu.
Tafuta hela wewe kazi umbea tuuuuuuu.
Umeona eenhee kwa sababu na wewe ni shetani. Unawasapoti [emoji49] [emoji48] [emoji48]We jamaa kiazi sana aisee!!