sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Sanaa inahitaji akili nyingi sana na mmoja ya wasanii wanaowekeza sana kwenye creativity ni Kanye West.
Kwa kifupi Donda ni album average tu sio kali kihivyo ila inafanya vizuri sababu ya matukio na hype.
Kuna kipindi msanii unakuwa umeshaimba kila kitu ushafanya kila kitu inaitajika akili ya ziada. Kanye amekuja na matukio controversial kama kumfuta Brizzy kwenye nyimbo, mara Jigga anafutwa kwenye album kumbe yumo, listening party ya kibabe, sound engineer kafukuzwa katikati ya safari.
Kiufupi kafanikiwa sana kwenye strategies zake na kamfunika Drake.