sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
kila mtu na kind of music anaopenda.Donda sio album ya average. Ile ni garbage album ila chawa ndio wanakomaa kuiona ina maana
Yes kibongobongo tunaita kiki...sisi za kwetu zingine zinakuwa haziingizi pesa.Kwaiyo kwa summary tu kafanya kiki sio?
mbona wakifanya hapa kwetu hatupongezi?
Kanye ametuuzia Kiki.Donda sio album ya average. Ile ni garbage album ila chawa ndio wanakomaa kuiona ina maana
Donda ni umaarufu wa Kanye West unaoifanya iwe streamed ila hamna kitukila mtu na kind of music anaopenda.
Mfano Essence ya Wizkid kwa africa mliona ni garbage ila Marekeani imefanya mabalaa hadi sasa anapiga tour yenye mafanikio makubwa saaana all ticket sold out.
kwangu mimi Donda ni album bora na kali kuliko album nyingi zilizotoka mwaka huu.
Nasisitiza tena kila mtu na kind of music anaopenda.Donda ni umaarufu wa Kanye West unaoifanya iwe streamed ila hamna kituView attachment 1929384
The College Dropout, Late Registration na Graduation ndio albums bora za Kanye West kwangu. Donda ni kelelekila mtu na kind of music anaopenda.
Mfano Essence ya Wizkid kwa africa mliona ni garbage ila Marekeani imefanya mabalaa hadi sasa anapiga tour yenye mafanikio makubwa saaana all ticket sold out.
kwangu mimi Donda ni album bora na kali kuliko album nyingi zilizotoka mwaka huu.
oh kumbe ni kwako!The College Dropout, Late Registration na Graduation ndio albums bora za Kanye West kwangu. Donda ni kelele
Sanaa inahitaji akili nyingi sana na mmoja ya wasanii wanaowekeza sana kwenye creativity ni Kanye West.
Kwa kifupi Donda ni album average tu sio kali kihivyo ila inafanya vizuri sababu ya matukio na hype.
Kuna kipindi msanii unakuwa umeshaimba kila kitu ushafanya kila kitu inaitajika akili ya ziada. Kanye amekuja na matukio controversial kama kumfuta Brizzy kwenye nyimbo, mara Jigga anafutwa kwenye album kumbe yumo, listening party ya kibabe, sound engineer kafukuzwa katikati ya safari.
Kiufupi kafanikiwa sana kwenye strategies zake na kamfunika Drake.
Mkuu Kanye namkubali sana lakini hajamfunika Drake. CLB inatarajiwa kuuza 600k copies first week bila promo, wakati Kanye ameuza 300k kwa manjonjo makubwa na hype.Sanaa inahitaji akili nyingi sana na mmoja ya wasanii wanaowekeza sana kwenye creativity ni Kanye West.
Kwa kifupi Donda ni album average tu sio kali kihivyo ila inafanya vizuri sababu ya matukio na hype.
Kuna kipindi msanii unakuwa umeshaimba kila kitu ushafanya kila kitu inaitajika akili ya ziada. Kanye amekuja na matukio controversial kama kumfuta Brizzy kwenye nyimbo, mara Jigga anafutwa kwenye album kumbe yumo, listening party ya kibabe, sound engineer kafukuzwa katikati ya safari.
Kiufupi kafanikiwa sana kwenye strategies zake na kamfunika Drake.
Hapo kwa wiz upo sahihi sana hii ngoma sikuielewa mwanzoni ila ipofika kule majuu ndio nikajua rasmi kuna kitu special ndani yake......kila mtu na kind of music anaopenda.