Kanye West atajwa kuwa bilionea na kuwa Rapper wa pili baada ya Jay Z

Airmanula

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
3,527
Reaction score
5,762
Kwa mujibu wa jarida la Forbes, Kanye West ana utajiri wa Dola Bilioni $1.3 na kumfanya kuwa msanii wa Hip Hop mwenye mkwanja mrefu zaidi kwa mwaka 2020.

Asilimia kubwa ya mkwanja huo, Kanye West amesema unatokana na biashara yake ya viatu Yeezy sneakers.

Awali Kanye West aliwapa Forbes document zake zote za mauzo ya viatu, Na majumuisho yalikuwa ni Dola Bilioni $3.2 kabla ya makato yote kufanyika.

Kanye West anakuwa msanii wa pili wa Hip Hop kuwa Bilionea, Baada ya Jay-Z kutawala kwa muda mrefu.

Hata hivyo, Kanye West bado anadai kuwa yeye ni Bilionea tangu muda mrefu ila hakutaka kuwaanisha Forbes kwa kuwapa nyaraka za mauzo ya viatu vyake.

Kama utakumbuka, mwaka jana jarida la Forbes lilimtaja Kanye West kuwa ana utajiri wa ($890m), kitu ambacho kilimkasirisha Kanye na hakukiunga mkono kabisa kwani alisema yeye ni bilionea na ana utajiri wa ($3 billion)

Kwa mujibu wa taarifa mpya iliyotoka jana Ijumaa, Forbes wamempa Kanye hadhi ya Bilionea wakidai ana utajiri wa ($1.3 billion) ambazo ni zaidi ya Trilioni 3 za Kitanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anastahili, pongezi kwake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeezy Sneaker siyo za Wanyonge,.Hapa Mzanzi wana Sneaker ya 80,000 Rand.
 
We wa pili siyo DIMOND kweli?..aaah FORBES WAONGO..kwiii kwii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema jamaa katumia nguvu kubwa plus 'Uchizi na Mihemko' ndio maana Forbes walikuwa hawamchukulii serious mpaka kawaonesha Receipt.

Na hapo nadhani ni kutaka ile League na aliyekuwa rafiki yake wa muda mrefu Jay Z pamoja na shemeji ya Kyle Jenner.

Anyway.

He has finally made it
 
Back
Top Bottom