Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
KANYE WEST AUNGANA NA WANAIJERIA KUPINGA UKATILI WA POLISI
Mwanamuziki yota wa muziki wa hiphop wa Marekani, Kanye West ameungana na Raia wa Nigeria wanaoandamana kupinga ukatili wa polisi nchini humo
Kutokana na ghasia zinazoendelea nchini humo serikali ilivunja Kikosi chake maalum cha Polisi (SARS) kinachohusika na kukabiliana na makundi ya uhalifu na wahuni
Uamuzi uliokuja baada ya maandamano ya Wananchi kutokana na madai ya vitendo vya ukatili kutoka kwa Polisi hao na Mamlaka zimesema zitafanya uchunguzi kuhusu shughuli za Kikosi hicho
Watu maarufu wa Nigeria pia wameonekana kuungana na wananchi katika maandamano, akiwemo msanii Davido ambaye picha zake zilitapakaa akiwa kwenye maandamano