2 of Amerikaz most wanted
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 1,328
- 3,718
Baada ya Adidas kusitisha kufanya kazi na yeezy inayomilikiwa na mkali wa miondoko ya Hiphop Kanye West, Ina ripotiwa Adidas wamepoteza takribani USD million 540.
Sasa basi Kanye West kaamua kufanya kazi za masuala ya fashion kivyake vyake. Siku chache zilizopita ametoa new outfit tofauti tofauti, lakini zilizogonga vichwa vya watu ni outfit za kike ambazo mke wake Bianca Censori ambae pia ni model wake wa mavazi.
What is your thoughts? 🤔