Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,298
- 7,612
Ingawa binadamu hatupendi kutangaza mafanikio ya watu ukweli ni kwamba Kanyewest anakwenda kutajirika kwasababu United (benki inayomilikiwa na watu weusi) imempa nafasi ya kuwekeza pesa katika benki hiyo.
Rasmi ana udhibiti wa 100% juu ya brand yake ya Yeezy.
Ana zaidi ya dollar milioni 800 ukizileta Tanzania ni Tsh 1865812008800.00 TZS taslimu soma usikike.
Makumi ya mamilioni ya watu bado wako tayari kuunga mkono chapa ya Yeezy. .
Atafungua maduka ya Yeezy kote nchini Marekani na kuajiri watu wengi na pia kuuza nguo za bei nafuu.
Isitoshe ingawa mauzo ya muziki wake yameshuka kutokana na vikwazo alivyo wekewa bado anaingiza dola milioni 20 kwapesa za Tanzania ni milioni 46645300220.00 TZS kwa mwezi katika malipo ya muziki. .
Watu wanataka ionekane Kanye West anapoteza lakini amepata uhuru wake katika kazi zake kwa 100% na anakusanya haibaki hata senti katika mikono ya mtu.