Kanye west kamnunulia kim kardashian pete ya uchumba yenye thamani ya $6,000,000

Kanye west kamnunulia kim kardashian pete ya uchumba yenye thamani ya $6,000,000

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
You can’t tell me nothing singer Kanye West ametumia kiasi cha dolla za kimarekani $6,000,000 kununua pete ya uchumba (engagement ring) na kuomba kumuoa mwadada Kim Kardashian.

Kanye West hakuishia hapo jamaa aliendela kumpa demu wake surprise za kufa mtu baada ya kukodisha uwanja wa San Francisco’s AT&T kwa dolla za kimarekani $200,000 na kisha kumwambia Kim Kardashiam maneno haya “PLEEEASE MARRY MEEE!!!”.
Miezi michache Kim Kardashian alimzalia Kanye West mtoto wake wa kwanza wa kiume ambaye alipewa jina la North West.
 
dah,maisha ni mchakato!mie huwa nasubiria siku ambazo mastaa wetu wanapiga vibuti!@%%&*
 
Budget ya wilaya wenzetu wananunulia Pete ya uchumba. Kibongobongo watu hawataki hata kutoa mahari ya laki 2! Tumetofautiana aisee
 
ila sisi watu weusi tuna kasoro kidogo...kwenYe DNA zetu....black people are rich not wealthier
 
Budget ya wilaya wenzetu wananunulia Pete ya uchumba. Kibongobongo watu hawataki hata kutoa mahari ya laki 2! Tumetofautiana aisee

1549497094217.png
 
Back
Top Bottom