fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
Angekuwa ni mzungu ungesema jamaa yuko simpo sana.angalia superstar wa dunia anavaa buti ngumu kama hyo nguo bila shaka ni mtumba sijui tumfananishe na star gani hapa bongo
Nash mc? no Nikki mbishi no
ila jamaa kawa kauzu hatariView attachment 899128
bangi sio nzuriangalia superstar wa dunia anavaa buti ngumu kama hyo nguo bila shaka ni mtumba sijui tumfananishe na star gani hapa bongo
Nash mc? no Nikki mbishi no
ila jamaa kawa kauzu hatariView attachment 899128
Huyu ndo ngosha sasa
angalia superstar wa dunia anavaa buti ngumu kama hyo nguo bila shaka ni mtumba sijui tumfananishe na star gani hapa bongo
Nash mc? no Nikki mbishi no
ila jamaa kawa kauzu hatariView attachment 899128
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu umenichekeshaSi ndo huy aliomba kupiga picha na Diamondi kisa buti lake pale Airport?