Kanye West na Bianca Censori wanakaribia kuachana

elieazy

Member
Joined
Dec 24, 2024
Posts
11
Reaction score
36
Kanye West na Bianca Censori Wakaribia Talaka Siku Chache Baada ya Grammys

Kanye West na Bianca Censori wanakaribia kuachana, zikiwa ni siku kumi na moja tu tangu Censori aonekane karibu uchi kwenye tuzo za Grammys.

Vyanzo vya habari vinasema kwamba tayari wanandoa hao wameshatengana na wanatarajia kufungua rasmi kesi ya talaka hivi karibuni. Inaripotiwa kuwa Censori atapokea fidia ya dola milioni 5 baada ya kutengana.

Chanzo cha karibu na rapa huyo mwenye umri wa miaka 47 kimethibitisha kuwa uhusiano wao umefika mwisho na taratibu za kisheria za kuvunja ndoa yao zitaanza muda wowote.

Kanye West and Bianca Censori are heading for divorce, just eleven days after Censori's nearly-naked appearance at the Grammys.

Sources claim the couple has already broken up and expect a legal filing to end the marriage soon. Censori will reportedly receive a $5 million settlement.

Kanye West and Bianca Censori SPLIT days after naked Grammys stunt and vile anti-Semitic meltdown

A source close to the rapper, 47, confirmed that the couple have now broken up and that they expect a legal filing to end the marriage in the coming days.

Censori, 30, is understood to be staying at their $35 million house in Beverly Park North, Los Angeles for now.

It’s not known where West is but some believe he may even head back in the coming days to Tokyo, Japan, where he spent much of last year living in a hotel.

She appeared plainly unhappy on the red carpet on February 2 when West instructed her to drop her fur coat and ‘make a scene’ but she went along with his instructions.

Friends of West insisted that the stunt was his idea of ‘art’ and also intended to replicate the cover of his album Vultures 2.

MailOnline has contacted West and Censori's representatives for comment.

The following day he wrote on X: ‘My wife’s first red carpet opened a whole new world. I keep staring at this photo like I was staring in admiration that night Thinking wow I am so lucky to have a wife that is so smart talented brave and hot.’

He went on: ‘She took a break from shooting her first film to make a movie in real life We Tailored that invisible dress 6 times And just like magic poof we disappeared.’

Kanye West and his Australian wife Bianca Censori are allegedly heading for divorce in the wake of their Grammys stunt, and his vile public outbursts in recent days.

According to the Daily Mail, the star couple are set to split after just two years of marriage, with the Australian architect reportedly set to receive a payment of $5 million.

The outlet reports that the alleged divorce payout was verbally agreed when they married in December 2022.

The Daily Mail quotes a source close to West as saying the couple have broken up and will make a legal filing to end the marriage in the coming days.

It’s believed Censori is now staying at the couple’s $35 million Beverly Park North mansion in LA. As for West, it is understood he may be headed back to Japan where the couple spent the majority of the past year living in a hotel as he recorded his new album.

Shortly after the divorce news made headlines, West took to Instagram to share a creepy message about coercion.

As per the Daily Mail, the rapper shared a definition of the word “coercion” on the platform.

The post read: ‘Yes, coercion is illegal. Coercion is the act of forcing someone to do something against their will through threats or intimidation. It can involve physical harm, psychological abuse, extortion, blackmail or sexual assault.”

West appeared to delete the message within minutes of posting.

 
Mtu ushakuwa millionaire na watoto unao kwanini upate tabu ya kuoa?
 
Walifunga ndoa ya mkataba for 2 years na mkataba wao ndio unaishia, Bianca anavuta mpunga wake anaendelea na maisha.
Huyo Bipolar Kanye akatafute mjinga mwingine wa kumdhalilisha in a name of money.
Ni vile tu ni siri karibu wanawake wote wamedhalilishwa kufika hapo walipo nyuma ya pazia kuna uchafu nwingi sana
🤣🤣
 
Walifunga ndoa ya mkataba for 2 years na mkataba wao ndio unaishia, Bianca anavuta mpunga wake anaendelea na maisha.
Huyo Bipolar Kanye akatafute mjinga mwingine wa kumdhalilisha in a name of money.
Ila si bora anapokea pesa hajafanya bure 😂
 
Utu wa mtu haununuliwi kwa pesa dear, nadhani umemuona Bianca jinsi alivyokua anaonekana hana furaha, pesa kapokea ila damage aliyoachiwa ni kubwa sana ni kama wale wanawake wa kwenye porn industry wengi wao huishia kujiua
Ni kweli Kanye alimpenda Kim
 
Walifunga ndoa ya mkataba for 2 years na mkataba wao ndio unaishia, Bianca anavuta mpunga wake anaendelea na maisha.
Huyo Bipolar Kanye akatafute mjinga mwingine wa kumdhalilisha in a name of money.
Basi unawaonea wivu mwenyewe... unatamani huyo angekua demu wako umsage... 😀😀

So cursed generation!!
 
Utu wa mtu haununuliwi kwa pesa dear, nadhani umemuona Bianca jinsi alivyokua anaonekana hana furaha, pesa kapokea ila damage aliyoachiwa ni kubwa sana ni kama wale wanawake wa kwenye porn industry wengi wao huishia kujiua
Alikupigia simu akakwambia hana furaha?
 
Ndoa za mkataba ni nzuri sana hamgawani mali nusu kwa nusu mkiachana.
 
Kwasheria zao sithan kama alikua analazimiswa vngevyo Kanye jela ingemwita nathan wanawake hata watanzania kuna aambao wanaweza kufanya hayo sema kwahuku tz wanaona aibu.wanawake kwenye pesa anafanya lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…