Wale watu wakujigamba kwamba wageni wa $10,000 a night wanafurika kwao wako wapi?
Of late wageni mashuhuri, kwanzia Melania na sasa Kanye na Kim Kardashian wamewapiga chenga.
Kunani?
😀😀😀🙂
Anyway, hapa Nairobi tunamgonja Kanye afanye connecting flight kutoka Entebbe, apate direct flight mpaka New York.
sababu ya mlima wenu wa KilimanjaroKwa Bill Gate Kenya ni kama second home. Huku hufika karibu kila mwaka.
Teh teh teh tihiii
you are brainwashed by a skewed and biased media. this's is why you believe in everything that is AIRED by them.
fyi bwana mdogo, those unfair reporting media have loss countless number of tort cases. one of them involved a TANZANIAN international figure.
we smart people we are not swallowing anything that comes FROM them. we try to critically ponder on it. since we are open minded people we try find out how others report about Afrika and world as a whole by watching CCTV, Russia Today, InterTas et al. Actually we feel the difference how they report about Afrika and world at large.
So a headline highlighting story of the youngest billionaire kidnapped in your country you consider that as brainwashing, such news featuring live on CNN is not something to be proud of you CCM diehards, you're definitely taking your country the wrong way but blinded by party politics.
CNN coverage can not be compared with your miniature media that is always glued to SHILAWADU type of genre
CNN’s two dozen branded networks and services are available to more than 2 billion people in more than 200 countries and territories.
CNN has 36 editorial operations around the world and around 3,000 employees worldwide.
CNN’s coverage is supplemented and carried by more than 1,000 affiliates worldwide.
CNN reaches 91 million households in the U.S.
CNN Digital is the number one online news destination, routinely registering nearly 200 million unique visitors globally each month.
CNN International reaches more than 373 million households worldwide
Unaona walivyo waoga hawa jamaa, wakisemwa na international media kidogo tu, basi kwao dunia ndio imekwisha. Huyo Mk254 sijuwi amesahau Kenya Hotbed Of Terror.Teh teh teh tihiii
SINDANO imekuingia
ahaaa haaa haaa
punguza povu bwana mdogo. nothing is special with CNN. I take it like other tabloids. no wonder it loses several defamation cases.
kwa sababu mkikuyu mwenzako koinange alikuwa akiripotia huko -ve news about Kenya and the continent at large, basi ndo unaona ina staff kutoka mbinguni. ahaaa haaa haaa
Unaina walivyo waoga hawa jamaa, wakisemwa na international media kidogo tu, basi kwao dunia ndio imekwisha. Huyo Mk254 sijuwi amesahau Kenya Hotbed Of Terror.
Teh teh teh tihiii
SINDANO imekuingia
ahaaa haaa haaa
punguza povu bwana mdogo. nothing is special with CNN. I take it like other tabloids. no wonder it loses several defamation cases.
kwa sababu mkikuyu mwenzako koinange alikuwa akiripotia huko -ve news about Kenya and the continent at large, basi ndo unaona ina staff kutoka mbinguni. ahaaa haaa haaa
Povu kivipi, nakupa facts sio kitu kizuri kutajwa tajwa kwa mabaya na kituo cha habari cenye coverage inayotoshana na idadi ya Tanzania zaidi ya hamsini hivi.
Leo hii nyie ndio mumepewa sifa ya Afrika ya kuteka bilionea mwenye umri mdogo, juzi sifa yenu kubwa ilikua nchi ya kipekee duniani inayowachinja albino....sijui huwa mna laana gani na ndio maana mpo maskini miaka yote hii pamoja na kuwa na kila aina ya raslimali.
Teh teh teh tihiii
sisi waTanzania tangu zamani ni wajeuri. kuna NCHI kibao tulizifurusha licha ya kutupatia misaada. hatutaki ujinga, tunajali sana UTU badala ya VITU.
Ahaaa haaa haaa
bado maumivu hayaja kuisha, na NDIYO maana unatafutiza issues hata zingine hazihusiani, ili mradi ujitulize moyo.
fyi hata your mighty CNN itangaze nini, MAMBO yetu yataenda kama KAWAIDA, dat has zero correlation.
Hamna kisichohusiana, lakini level ya uwezo wako wa kufikiri haiwezi kuunganisha dots za umaskini wenu na hayo mambo yenu ya kiajabu ajabu mnayotajwa na kuhusishwa nayo dunia yote, siku zikiisha zile buku saba niliskia mnapewanga za kutetea tetea hayo maovu yote mitandaoni, ndio utaanza kuelewa.
Teh teh teh tihiii
SINDANO bado inafanya KAZI.
sasa hapo ndo umeongea NINI?
Ahaaa haaa haaa
Hutoelewa hadi ukombolewe, wacha na mimi niige hizo ahaahaaa zako, hivi huwa unazicheka vipi, hebu weka audio maana isije tokea ni ile micheko ya kina dada zetu wa Pwani.