kanywa soda ina vichupa ndani

kanywa soda ina vichupa ndani

Rjohn

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
613
Reaction score
128
Tafadhali nisaidie kwaushauli wa huduma yakwanza ya haraka mdogo wangu nilimuagiza kret ya soda akiwa njian moja ikapasuka chupa katikat ikiwa imebaki soda kidogo akanywa kias tumbo likaanza kumuuma ndipo akaniambia nimempa maziwa mabichi ametapika kidogo natudam tupo, niko mbali nahospitali nifanyeje kama huduma yakwanza kumsaidia zaidi nikielekea hospital
 
Hayo maziwa uliyompa atatapika tu sumu ya soda ili vipande vya chupa vipo pale pale we mpeleke hosp tu kifuatacho ni upasuaji
 
nashukuru nyote kwa ushauli natekeleza yote mlonipa
 
Back
Top Bottom