Kuna jamaa ameoa msichana ambaye alikuwa girlfriend wa jamaa yangu siku za nyuma na ni rafiki yake wamekuwa pamoja, sasa tatizo linakuja kuwa jamaa anashindwa kwenda kumtembelea huyo jamaa kwa kuwa anaona kama muoaji anam-mind kwa kuwa huko nyuma kabla yake jamaa alikuwa anamchukua mkewe
Jamaa yangu anasema kuwa kama wakikutana na hao wanandoa yule jamaa muoaji anakosa raha kabisa lakini kama akikutana na m/mme peke yake wanakuwa poa tu na ni marafiki na wamekuwa pamoja utotoni
Je situation kama hiyo ikikutokea wewe mwanandoa utaichukuliaje?
Kuna jamaa ameoa msichana ambaye alikuwa girlfriend wa jamaa yangu siku za nyuma na ni rafiki yake wamekuwa pamoja, sasa tatizo linakuja kuwa jamaa anashindwa kwenda kumtembelea huyo jamaa kwa kuwa anaona kama muoaji anam-mind kwa kuwa huko nyuma kabla yake jamaa alikuwa anamchukua mkewe
Jamaa yangu anasema kuwa kama wakikutana na hao wanandoa yule jamaa muoaji anakosa raha kabisa lakini kama akikutana na m/mme peke yake wanakuwa poa tu na ni marafiki na wamekuwa pamoja utotoni
Je situation kama hiyo ikikutokea wewe mwanandoa utaichukuliaje?
duh ndio maana jamaa uwa anaumia sana maana mshikaji waliachana tu kwa amani baada ya jamaa kupata demu mwingine na wana salimiana fresh tu na mke wa jamaaWahenga walisema "KIkulacho kiko nguoni mwako"....! Sembuse waliowahi kukulana? Najua jamaa ndio kaanza kubisha hodi pale...! Atasahaulika vipi? Nami sipati amani kamwe, labda kuachana kwao ni kwa kugombana na nina uhakika kuwa hawajawahi kupatanishwa...! Sipendi ugomvi, lakini kambi ya mapenzi ukiiaga kwa amani, siku moja utarudi tu....! bora kuinyea kabisa, ndio nitapata amani...! Nitaringia nini juu ya mke wangu mbele ya jamaa huyo? Wakati kila kitu anakifahamu....! Kwa kweli ni kazi, hasa kama hujawahi kushuhudia unaibiwa, pengine ungezoea na kuona jambo la kawaida...!
uwa natokea kwa kuwa ni marafiki na wap jirani sana kuna mara zinatokea kuna sherehe au issue fulani anaenda pale kwa wale wanandoaKwani huyo jamaa yako ni lazima sana aende kumtembelea jamaa yake kama kweli anajua kuwa jamaa anakosa raha? Nadhani kama hali ipo hivyo wapange utaratibu wa kukutana pale inapolazimu kukutana. Au ikbidi ajiweke mbali nao kama anahisi kuna tatizo,labda bibie ndo hataki kumuona jamaa yako akienda kwao!
halafu huyo muoaji uwa anasafiri mara kwa mara sasa sijui akiwa safarini inakuwaje nahisi kama anaona huku jamaa anamlia mkeweHawara hana talaka. Kwa hiyo ujue kabisa kuwa jamaa siku na saa yoyote atachemsha kiporo kwa moto mdogo sana. Kitu kinachowezazuia mambo haya ni ama wanandoa hao waishi mbali ambako kuonana kwa demu huyo na jamaa ni kudogo sana au hakupo kabisa na pengine kama waliachana kwa uhasama mkubwa. Kinyume na hapo, muoaji imekula kwake, Kampe pole ya herufi kubwa!
waliachana si kwa ugomvi na jamaa alikuwa anamchua kwa kipindi kama miaka mitatu au zaidi ila baadae wakaachana na huyu binti akaolewa na mumewe ambaye wamekua pamoja na yule ex wa mkewe na bado wanakaa mtaa mmojaLakini mapenzi huwa yanaisha kama walifunga page na kuanza upya hakuna tatizo lolote ...sasa kama waliachana wakiwa wanapendana hilo ni tatizo kila mmoja aepukane na jaribu hili kubwa :confused2::confused2:
duh ndio maana jamaa uwa anaumia sana maana mshikaji waliachana tu kwa amani baada ya jamaa kupata demu mwingine na wana salimiana fresh tu na mke wa jamaa
waliachana si kwa ugomvi na jamaa alikuwa anamchua kwa kipindi kama miaka mitatu au zaidi ila baadae wakaachana na huyu binti akaolewa na mumewe ambaye wamekua pamoja na yule ex wa mkewe na bado wanakaa mtaa mmoja
sasa kama bado anampenda hiyo ni siri yake huyo dada
halafu huyo muoaji uwa anasafiri mara kwa mara sasa sijui akiwa safarini inakuwaje nahisi kama anaona huku jamaa anamlia mkewe
aaah hii noma sasa kama ukipigwa kibuti halafu huyo demu akaenda kumwambia jamaa yake si itakuwa soo juu ya soo hapana hii nomaKitakacholeta amani ni huyo jamaa (mume wa mke huyo) naye kujitahidi achape kwa mwenzake....! Japo haipendezi...! Pengine itampatia amani mbele ya mkewe na huyo jamaa (Ex). Vinginevyo, hali ni ngumu kiasi kwake...!
Mmm soo kazi kweli kweli ! Wengine hatujui kugombana na watu waliokuwa WAPENZI wetu , hata kama tunahitimisha urafiki , na uzoefu unaonyesha mikikuta tuu ,contact lazima mpeane na kukumbushana na kuulizana maendeleo baada ya hapo mahusiano yaweza kurudi !
Kiukweli kabisa niliwahi kukutana na Ex girl wangu Church wakati yeye ashaolewa nikaacha kwenda misa hiyo , yeye akafikiri namaind akaja misa ya pili tukaonana, ila hutuongei maana yuko huby wake , soo ni pale tulipokutana mtaani tukakata kiu , huku akiamini anaona naumia sana mpaka nakimbia misa ! mimi naamini MKE wa Mtu ni sooo nikamua kuhama maeneo yale kabisa maana naamini jamaa angejua tuu ! Mamaa ametulia acha kabisa ! sasa hata nikikutana naye akijilengesha siwezi acha sababu najua manjonjo yake yaana naomba tuu niskutane nae au anichunie tuu ndio salama yangu !