menny terry
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 509
- 670
Wakuu,
Kama filamu ya Royal tour itakuwa na part two basi haya maeneo yatakuwa ni mazuri mno kuunganishwa Kwa filamu hiyo. Itasaidia sana kuongeza utalii Na kuinua uchumi wa eneo la bagamoyo. Baada ya kuyatembelea huko bagamoyo nimeshangaa sana kwanini hayatangazwi zaidi kwani yamebeba historia kubwa sana.
Nawasilisha.