Kaoneka: Kama nitarudia pambano na Mandonga, sitafanya mazoezi

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Bondia Shabani Kaoneka ambaye amepiga kwa TKO Karim Mandonga amesema yupo tayari kwa pambano la marudio

Amesema kama atarudia pambano hatofanya mazoezi kwa kuwa anaujua udhaifu wa Mandonga

Kaoneka na Mandonga wamepigana kwa mara ya pili ambapo mara zote Kaonekana ameonesha ubabe kwa TKO
 
Yule Mandonga ukimuona akifanya yale mazoezi yake ya kupiga miti kiasi cha kuondoa maganda yake, unaweza ukadhani ni bondia hatari kweli.

Akiwa ulingoni sasa! hata huwezi kuamini namna alivyo mwepesi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…