We ndo upunguze ujinga kwa maana kwa namna ulivyoexpress ni kana kwamba mwenye hiyo avatar ni uyo kapeace, tena sio upunguze, ni uache ujinga na uzwazwapunguza ujinga wewe,,,kwani we uliyemuweka kwenye avatar ndo wewe?
Subiria aje mkuu......ya moyoni ndo ayo mkuu
Je Deo Kisandu? Naye hatumii picha halisi?umu members wanatambuana kwa avatars zao hakuna mwenye picha halisi humu