It's friday y'all .... be blessed (and stay away from "makapi" ya ccm)
CCM kama kawaida yao wanachukua the best.
Slaa alishinda uchaguzi, wakuu wa vyama wakamtosa (wakafuata ushauri wa Kiranga).
Kwa vile Slaa alikuwa kapi, CCM walitaka ngano, wananchi wa karatu wakawaletea makapi, ccm wakayakataa.
Akiwa kama kapi, akaomba kujiunga na chadema.
Chadema kama kawaida ya kuchukua makapi (hata sijui kwa nini walimkataa Mrema), wakamkubali.
Slaa akaingia CHADEMA... amekivunjilia mbali hicho chama.
Ushauri kwa CHADEMA.
Msikilizeni Kiranga (mtaalamu wetu wa siasa), achaneni na makapi ya ccm (kama Dr Slaa).
Haya makapi (kina Slaa) hayana nia nzuri na chama chenu, yanataka kuvuruga upinzani.
kwa sifa zipi mkuu?Nadhani huyo ndugu amekosa la kusema . Anyamaze au ni uchovu wa wiki nzima . Wilbroad Peter Silaa thamani yake ni wabunge 120 wa CCM. Ukome kumuita kapi. Uwe na nidhamu hapa jamvini unapozungumzia mambo ya watu waadilifu na Rais wetu. Anaye weka rekodi ya kumtoa ikulu rais aliyemtangulia kabla ya vipindi viwili. I repeat, shut up.
CCM kama kawaida yao wanachukua the best.
Slaa alishinda uchaguzi, wakuu wa vyama wakamtosa (wakafuata ushauri wa Kiranga).
Kwa vile Slaa alikuwa kapi, CCM walitaka ngano, wananchi wa karatu wakawaletea makapi, ccm wakayakataa.
Akiwa kama kapi, akaomba kujiunga na chadema.
Chadema kama kawaida ya kuchukua makapi (hata sijui kwa nini walimkataa Mrema), wakamkubali.
Slaa akaingia CHADEMA... amekivunjilia mbali hicho chama.
Ushauri kwa CHADEMA.
Msikilizeni Kiranga (mtaalamu wetu wa siasa), achaneni na makapi ya ccm (kama Dr Slaa).
Haya makapi (kina Slaa) hayana nia nzuri na chama chenu, yanataka kuvuruga upinzani.
CCM kama kawaida yao wanachukua the best.
Slaa alishinda uchaguzi, wakuu wa vyama wakamtosa (wakafuata ushauri wa Kiranga).
Kwa vile Slaa alikuwa kapi, CCM walitaka ngano, wananchi wa karatu wakawaletea makapi, ccm wakayakataa.
Akiwa kama kapi, akaomba kujiunga na chadema.
Chadema kama kawaida ya kuchukua makapi (hata sijui kwa nini walimkataa Mrema), wakamkubali.
Slaa akaingia CHADEMA... amekivunjilia mbali hicho chama.
Ushauri kwa CHADEMA.
Msikilizeni Kiranga (mtaalamu wetu wa siasa), achaneni na makapi ya ccm (kama Dr Slaa).
Haya makapi (kina Slaa) hayana nia nzuri na chama chenu, yanataka kuvuruga upinzani.
Mkuu azungumze na mumewekaa nyumbani zungumza na mkeo
Please please wakuu, mueleweni vizuri mwafrika. Could you people please read between the lines? nadhani huyu katumia fasihi. Nadhani ni ujumbe kwa wale wanaosema 'makapi ya ccm'. If at all Dr. Slaa was / is makapi then we need more of this kind of makapis.
Unavyoamini wewe ndo anavyoamini mtoa mada, ila ametumia fasihi sana kiasi kwamba usipokuwa makini sana ni vigumu kumwelewa. Kuna usemi usemao jiwe walilokataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni! Ndio maana ya kapi kuwa na umuhimu kuliko ngano yenyewe!Nadhani huyo ndugu amekosa la kusema . Anyamaze au ni uchovu wa wiki nzima . Wilbroad Peter Silaa thamani yake ni wabunge 120 wa CCM. Ukome kumuita kapi. Uwe na nidhamu hapa jamvini unapozungumzia mambo ya watu waadilifu na Rais wetu. Anaye weka rekodi ya kumtoa ikulu rais aliyemtangulia kabla ya vipindi viwili. I repeat, shut up.