Kapigwa kibuti........ anamlilia aliependwa!!!!

<br />
<br />
hahahahahaaa bonge la *****!!
 
AENDELEE NA MAISHA, Mwambie maisha yapo yanamsuburia, hyo dada wala ha worth machozi yake, mwambie ahifadhi machozi yake aje kumlilia mtu mwafaka, sio huyo aliyemtema mchana kweupe
 
Kisicho riziki hakiliki mwambie asilete ubishi! Yaani huyo ndo nshine kabisa, mangapi amepanga na hayajafanikiwa sembuse hili? Akilitambua hili atamove kwa amani.
 
Mwambie huyo rafiki yako aache ujinga..
 
Napenda wanaume wanaolia. Huwa wanajua saaana kupenda. Mpeni kampani ya kutosha asije jiua. Atampata anayejua thamani ya mapenzi soon.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…