Jf udaku baada ya uchunguzi wa kina imegundua kuwa hizi kapo:
sosoliso na
Paloma.....kapo feki hii
Arushaone na
Lady doctor.....hakuna cha ndoa wala nini,hata kwa sura hawajuani
marejesho na
Filipo....hawa wanafanya kweli na mtoto wamezaa
Judgement na
YNNAH.....hamna kitu hapa,wanaishia ku pm tu
mimisa na
manoah.....kapo ya ukweli ingawa wana tofauti ndogo ndogo..
TheDealer utaishia kunawa tu
Madame B na
kiplagati26.....chezeiya mjeda anajilia taratibu..
Ben Saanane,
Chimbuvu,
tedo na wana saccos wenzenu kina
CHAI CHUNGU mlie tu
watu8 na
measkron.....wametalikiana majuzi
Chocs na
Erickb52......si chochote si lolote kazi kutumiana maPM yasoisha na miadi hewa
Asprin na
cacico,
Yummy na
BADILI TABIA.....ni saccos ya ukweli
The secretary na bishanga.....true true couple...tuna na mtoto
.......risechi inaendelea,nitawa update