Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Justifications=Kuipa uhalali(hata kisicho halali)?Facts=jinsi ilivyo bila kuongeza chochote.Ndivyo unamaanisha?Sisi tunaleta justification zenye facts
Usijitege kwa kungojea kupingwa.Umefeli kabla haujaanza kuwaza.Watakuja kukupinga
Kacheza vizuriLkn vp performance yake??
Mkuu, jamaa kasema beki wa kati na beki wa pembeni unawafananishaje?Fighting spirit wametofautiana
Ngoja niandae notice za kiuchambuzi kujibu swaliMkuu, jamaa kasema beki wa kati na beki wa pembeni unawafananishaje?
Kama una uelewa kidogo, nipe madini hapa, Fighting spirit inaathiri vipi position za wachezaji uwanjani kiasi cha kufanya Kati na Pembeni pasitofautiane?
Kapombe ni B2B kwenye wing side, anayejichagiza na kasi aliyonayo, ikiwa ni pamoja na uwezo wa kumimina majalo, anaweza kuanzisha Counter, mara nyingi anacheleweshwa na attackers, pia namba 7 wake sio mtu mchangamfu kivile; huyu kule duniani angeweza kubadilishwa kuwa namba 7 na angefanya vizuri tu.
Dick Job, huyu anakamata namba ngapi pale Yanga, 4 au 5? Hawa watu si ndo labda uwabadili kuwa makipa? Nimeona mechi chache tu za Simba na Yanga, sijawahi mzingatia huyu beki, nadhani kwenye kikosi chake anafanya kazi nzuri akiwa beki wa kati, takwimu zinasema hivyo, ingawa inawezekana ni matokeo ya team work.
Job umri bado unamruhusu,ila kwa uwezo na kipaji hakuna full beki ya soka kama kapombe hii nchi,ukibisha njoo na namba zaoFighting spirit wametofautiana
We jamaa unaJua boliBek dickson ni kilaka kapombe hana pengo pale labda kwenye familia yake tu
One to one correspondence translation (tafsiri sisisi)haipo hivyo nilivyoandika.Usikwepe ukweli.Hapana mkuu Umefanya tafsiri ya neno to neno
Mwendelezo wa thread za kipuuzi.Mlinzi wa Timu ya Taifa Stars, Dickson Job amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mchezo kati ya Tanzania dhidi ya wenyeji Uganda The Cranes uliopigwa katika dimba la Suez Canal, Ismailia Misri.
Stars iliibuka na ushindi wa 1-0 huku Simon Msuva alifunga bao pekee akiunganisha krosi iliyomiminwa nyota wa mchezo Job kutoka upande wa kulia wa uwanja mnamo dakika ya 68 ya mchezo.
Kwa ushindi huo Stars imekwea mpaka nafasi ya pili ikiwa na alama 4 baada ya mechi tatu nyuma ya kinara Algeria mwenye alama 9 baada ya mechi tatu.
Niger inashika nafasi ya tatu ikiwa na alama mbili huku majirani Uganda wakiburuza mkia alama 1 baada ya mechi tatu.
Fact kuhusu huyu mwamba
-Licha ya kuchezeshwa nje ya position yake lakn bdo kaonesha kiwango kizur ndan ya mchezo bgap sanaaaa
-Huyu dick Kwa alivyokuwa anajua kupiga pasi hata akicheza Tisa kumi uhakika anajua dogo huyu mpiraView attachment 2564610
Kapombe alianza career Kama Center half baadae Central mildfider ,,baaadae aliombwa na Martin noij acheze leftback ndio Azam wakampa namba ya right back so kapombe ni kiraka haswaMkuu, jamaa kasema beki wa kati na beki wa pembeni unawafananishaje?