Continental Ground
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 1,907
- 3,895
Wakuu miezi iliyopita nlikuwa namwona pale tabata sanene kashika BIA toka pale kwetu pazuri ndo mitaa anayoishi siku hizi Kuna siku Dada Yake anaitwa Mariamu alikuja maskani kwetu akawa anasema Daz hatumii madawa yeye ni pombe hizi za kienyeji na zile kali mixer bangi Sana.. Akasema atampeleka Kwa mganga ili arudi kwenye mziki.acha kupotosha jukwaa JONASON .. Daz baba anatumia unga toka kitambo.. mwaka 2010 nlisoma advance na binamu yake, kuna likizo nli hang out nao sana tu.. kiufupi ilikua kama ukoo wao mzima wanatumia hii makitu, kuna kipindi kaka yake huyu mshkaji wangu alitoka UK na demu wake mzungu sijui ndo alileta 'mzigo wa mbele' maana daz alikua akiusifu sana akawa analalamika bongo wanauziwa vumbi..
kama ni mshkaji wako na unasema hatumii madawa then unatuongopea hapa jukwaani, i have seen him and his crew doing drugs na si mara moja mkuu.. labda useme ameacha which i'll highly doubt.
jamaa hali ngada sema ganja,pombe kali, imani kali za kirasta, matunzo zero na usela mwingi zinamfanya aonekane kama dishi limeyumba ila ni mtu wa kusafiri sana.. Nimekaa nae sana maskan na hata jana tulikua nae
Upo maskani gani mkuu??jamaa hali ngada sema ganja,pombe kali, imani kali za kirasta, matunzo zero na usela mwingi zinamfanya aonekane kama dishi limeyumba ila ni mtu wa kusafiri sana.. Nimekaa nae sana maskan na hata jana tulikua nae