jamani wanajamvi mimi nikiri kabisa kwanba ni shabiki mkubwa wa huyu mtangazaji tangu akiwa clauds f.m. umepita kama mwezi hivi simsikii katika kipindi chake cha maskani, times f.m. na kipindi hiki kwa sasa kimeshikwa na Ezden. kama kuna mtu anataarifa zake naomba afunguke hapa.