Kilasara
Tarime unaijua au unaisikia tu redioni?
Mura wacha maneno yako hayo. Kwani madiwani karibu wote si Chadema, sasa mbona wanauana wenyewe kwa wenyewe utadhani wako Somalia. Wacha kelele arawa, Tarime mambo ni magumu usiwasifie bure. Ukibisha hebu nenda Tarime mjini tu halafu utembee baada ya saa 12 utaipata fresh. "Mura, kama uchui giswahiri sasa unataka ghento gani haba, nenkogecha mura, tumbasu.... " utasikia maneno kama hayo.