Kaptula la Marx: Unafahamu kwanini kitabu hiki kilipigwa marufuku? Waandishi wetu na Siasa zetu

Hivi kwa zama hizi ambazo kumkosoa mh.rais ni kosa la jinai

eti zama hizi kumkosoa mheshimiwa ni kosa, ni lini ilikuwa sio kosa ?

umesoma kilichoandikwa humu kwamba hiki kitabu kilipigwa marufuku?

halafu tunaambiwa Nyerere alikuwa hapigi mawazo makonzi...

wazee waongo kweli hawa
 
eti zama hizi kumkosoa mheshimiwa ni kosa, ni lini ilikuwa sio kosa ?

umesoma kilichoandikwa humu kwamba hiki kitabu kilifungiwa?

halafu tunaambiwa Nyerere alikuwa hapigi mawazo makonzi...

wazee waongo kweli hawa
Ingekuwa zama hizi, kisingefungiwa kitabu tu bali hata mtunzi angefungwa!
 
 
Mie kwa upande wangu huwa nazikumbuka sana kazi za David G. Mailu:

1.The Common Man

2. After 4.30.

Ni kazi nilizowah kuzipenda mnoo!.
 
...Kweli, Mkuu. Mzee wetu Kezilahabi alikuwa na Lugha Kali, ambazo zilionekana Kali zaidi kutokana na Nyakati hizo.
Kwenye 'Roza Mistika' kuna sehemu anaelezea kuhusu Roza kupita mbele ya Wanafunzi wenzake huku kigauni chake kikiwa kimeingia katikati ya matako take huku yeye akiwa hajui! ...nahisi Sikh hizo tungesema tu nguo imeingia katikati ya makalio...kama sio tu 'Nguo imeingia Kabatini' [emoji5]!
 
Jamani naomba msaada mwenye soft copy ya kitabu cha Kaptula la Marx, Gamba la Nyoka, Rose Mistika anisaidie.
 
Mkuu hujaelekezwa namna ya kuattac, uweke hicho cha Rosa mistika
 
Aliona mbali mwandishi

Mfano leo hii kuna vyama vya upinzani hata haviwezi kujiongoza ati wanataka kuongoza Nchi!! Nchi gani waongoze sasa?
Waendelee kujifariji tu
Kwa mind set yako hii unahitaji miaka hamsini kizazi cha nyuma yako kukusoma kwamba watu wa aina yako ndio mlichelewesha uhuru wa fikra!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…