Kaptula ya 'Mama Obama' yawakera baadhi ya wamarekani


...hawa jamaa wanaona sawa Mbwa apande Airforce one, au Marine one, lakini Mrs Obama akivaa kaputula kwenye hayo madege yao issue!...

Lililo sawa kwa wengine, kero kwa jamii nyingine.

I bet siku BO mwenyewe akivaa lubega/ au kibarghashia kwenye hizo ndege zao watamuita terrorist!

...sumu ya ubaguzi ni mbaya kuliko saratani!
 
ametoka chicha kama vijana wa kitaa wanavyosema, ingekuwa kwetu sijui ingekuwaje, vp mchajikobe umeiona hiyo kaptula
 
Mimi nadhani ukiwa mbaya kama Lucy Kibaki basi usiruhusiwe kuzaa watoto aisee. Utakuwa huwatendei haki kabisa...gotdamn!
 
we ngoja Mama Lucy Kibaki aige haya ya Michelle Duh!!! ni miguu ambayo haifai kuonekana in publik kabisa!!!! grrrrrrrrrrrrr


Michelle yeye bado kijana anaweza kuvaa kaptula; mama Lucy yeye hawezi kuvaa kwa sababu wajukuu zake ndio wanavaa kwa niaba yake!!
 
Sababu mojapo ya Obama kususa kuenda Kenya.....

Dayuum dude...you're harsh...

But I don't get why people are so fixated with Michelle. Hata angevaa suruali kuna ambao wangemaindi kwa nini kavaa suruali kwenye joto kali namna hiyo...kama wale wanaomaindi kwa nini Kikwete kampa pipi bwa dogo mmoja huko Lindi!! Lol@Miafrika's logic
 
instead mama salma kutumia mita zaidi ya 8 kushona yale mavazi yake nae apige nyanya puzo sometimes....
 
Mbona Mama Anna BW Mkapa hamjamvalisha hiyo pensi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…