Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Kwanza kabisa mimi ni muumini wa injili ya Yesu Kristo iletayo wokovu! Katika mishemishe zangu mara nyingi naungaunga na usafiri wa mwendo kasi katika moja ya stendi zenye watu wengi hapa Dar!
Huwa nawaona, kuwasikiliza na kuchungulia kapu la sadaka na kuona wingi wa coins za 50, 100, 200, na 500 na uchache wa noti sanasana 1,000 (buku).
Sasa nikawaza mtu emeguswa na Mungu amtolee sadaka kwa hao watumishi na kuenda kudondosha kitita cha 10mil. Je! Huyo muubiri ataendelea kuhubiri au imani yake kwa Mungu anayemuhubiri ndio itapotea na kuyeyuka?
Nawaza! Hapo ni stendi; na mtoa sadaka katoa mbele ya watazamaji wa stendi; wengi wao hata nauli ya kupanda gari ni kipengele; alafu million 10 hiyo hapo kwa huyo jamaa! Huyo jamaa cha kwanza hata imani ya Mungu wake kumuamini ndo aliyempa hiyo million 10 itapotea na kuhofia maisha yake huku akiitamani 10m! Nakuambia mahubiri yataishia hapo! 😍😍😍! SHIKAMOOO HELAA!!!!