kinyoba JF-Expert Member Joined Jun 2, 2011 Posts 1,267 Reaction score 720 Dec 1, 2011 #41 Mi huwa natumia neno BAO LA KUTU. hili ni bao la wale vijana waliokaa na ukame kwa muda mrefu!
Bishanga JF-Expert Member Joined Jun 29, 2008 Posts 15,321 Reaction score 10,075 Dec 1, 2011 #42 enzi hizo chuo kikuu (enzi za mzee punch) unogela ulikuwa unaitwa 'uhanga' na kipimo cha unogela kilikuwa kinaitwa 'ph'. Kwa wazee wenzangu mnakumbuka enzi hizo? ,enzi za 'harvard','manzese' na 'shimoni'?
enzi hizo chuo kikuu (enzi za mzee punch) unogela ulikuwa unaitwa 'uhanga' na kipimo cha unogela kilikuwa kinaitwa 'ph'. Kwa wazee wenzangu mnakumbuka enzi hizo? ,enzi za 'harvard','manzese' na 'shimoni'?
Dr.Chichi JF-Expert Member Joined Apr 30, 2008 Posts 2,393 Reaction score 632 Dec 1, 2011 #43 He he he kweli jf kuna mada zinafurahisha......aisee hiyo kiu ni noma.hapa nilipo nina kiu balaa ila wife yuko kwenye mp
He he he kweli jf kuna mada zinafurahisha......aisee hiyo kiu ni noma.hapa nilipo nina kiu balaa ila wife yuko kwenye mp
Duble Chris JF-Expert Member Joined May 28, 2011 Posts 3,481 Reaction score 564 Dec 2, 2011 #44 Masikini_Jeuri said: Wabarikiwe wanawake jasiri kama wewe popote duniani! Click to expand... dhahiri